HABARI NDANI

Rais Magufuli amteua Brigedia wa Jeshi Kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU

Rais Magufuli amteua Brigedia wa Jeshi Kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Brigedia Jenerali John Julius Mbungo kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU    
Readmore
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TBS

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TBS

OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Kumb. Na. EA.7/96/01/I/174 18 Agosti, 2017 TANGAZO LA KUITWA KAZINI Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwataarifu waombaji…
Readmore
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WAKALA WA SERIKALI MTANDAO (eGA) &  CHUO KIKUU CHA AFYA NA SAYANSHI SHIRIKISHI, MUHIMBILI (MUHAS)

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WAKALA WA SERIKALI MTANDAO (eGA) & CHUO KIKUU CHA AFYA NA SAYANSHI SHIRIKISHI, MUHIMBILI (MUHAS)

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAISSEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMAKumb.NaEA.7/96/01/I/179 17 Agosti, 2017TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILIKatibu, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba…
Readmore
MKUU WA MKOA AHIMIZA WANANCHI KUCHANGIA UJENZI WA OFISI ZA WAALIMU

MKUU WA MKOA AHIMIZA WANANCHI KUCHANGIA UJENZI WA OFISI ZA WAALIMU

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ahimiza wananchi na wadau mbalimbali wa Elimu kuchangia Ujenzi wa ofisi za waalimu kwa Mkoa wa Dar es salaam {youtube}xehkAfcCik0{/youtube}
Readmore
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA UNAPOANDIKA BARUA YA KUOMBA KAZI

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA UNAPOANDIKA BARUA YA KUOMBA KAZI

Mambo Muhimu ya Kuzingatia Unapoondika Barua ya Kuomba Kazi Barua ya kuomba kazi ni waraka ambao mara nyingi husomwa kabla ya waraka mwingine wowote unaoambatanishwa katika kuomba kazi. Ni vyema…
Readmore
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KWA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KWA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI

NAFASI ZA KAZI KWA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI1.0 Serikali inatarajia kuajiri Walimu 92 wa Shahada na 174 wa Stashahada wa masomo ya Fizikia, Hisabati, Kilimo na Biashara…
Readmore
MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO UTUMISHI WA UMMA  TAREHE 24 NA 25  JULAI 2017

MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO UTUMISHI WA UMMA TAREHE 24 NA 25 JULAI 2017

MATOKEO YA USAILI WA VITENDO (PRACTICAL) ULIOFANYIKA TAREHE 25 JULAI 2017 MAKTABA KUU YA TAIFA July 25, 2017 EXAMINATION NUMBER SCORE REMARKS ICT OFFICER-TFDA 1077 90 SELECTED ICT OFFICER-TFDA 0948…
Readmore
Vyeti vyasitisha ajira 70 za watumishi KCMC

Vyeti vyasitisha ajira 70 za watumishi KCMC

Moshi. Siku ya jana ilikuwa mbaya kwa kada tano za watumishi wapatao 70 katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC ya mjini Moshi, baada ya ajira zaokusitishwa hadi wawasilishe vyeti vya…
Readmore
MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI TFDA

MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI TFDA

KUITWA KWENYE USAILI - UTUMISHI WA UMMA , 7/20/2017 Katibu wa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania…
Readmore
Watumishi wa umma sasa kupokea mishahara kwa wakati mmoja

Watumishi wa umma sasa kupokea mishahara kwa wakati mmoja

PICHA|Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utumishi na Utawala Bora),Angellah Kairuki. Dar es Salaam. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utumishi na Utawala Bora),Angellah Kairuki, amesema katika mwaka…
Readmore