Press: Gavana uchumi wa Tanzania Unaimarika

Popular

Full Details

GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania, Profesa Benno Ndulu, amesema hali ya uchumi wa
Tanzania ni ya kuridhisha tofauti na taarifa zinazozagaa kuwa uchumi wa nchi umedorora.
 
Akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Museum wa Benki hiyo jijini Dar es Salaam, leo Septemba 14, 2016, Gavana huyo alisema, hali ya uchumi ni imara kwa vile tangu kuingia kwa serikali ya awamu ya Tano.

mfumuko wa bei umedhibitiwa na unashuka siku hadi siku hali kadhalika, thamani ya shilingi nayo inaendelea kuimarika.

Ad details

Ad ID : 8031
5991 Views

Advertiser details

Ajira Zetu (1)
Contact Advertiser Share

Phone number

Sorry, you need to register or login first.

Press: Gavana uchumi wa Tanzania Unaimarika

Contact form

Sorry, you need to register or login first.

Add to favorites

Sorry, you need to register or login first.